PEPO SADAKA

[ad_1] Ndugu msomaji wa makala ya Nabii Hebron, nakusalimu kwa jina la YESU WA NAZARETI aliye hai na sasa yupo mbinguni kwa BABA yake katika kiti cha enzi. Leo, nitakufundisha somo kuhusu pepo sadaka. Natumaini hili ni jambo jipya katika...

UNABII KUHUSU TANZANIA BARA 2014

[ad_1] By Nabii Hebron. Nawasalimu kwa jina la mwenyezi MUNGU aliye hai na siyo mungu mfu ambaye hajulikani na wala hajaumba chochote na hana chochote katika ulimwengu huu. MUNGU wa kweli ndiye BABA yake YESU WA NAZARETI, ambaye alikufa na...

VITUKO VYA WATUMISHI (ALL OVER THE WORLD)

[ad_1] (KUWADHALILISHA WANAWAKE) Makala hii nimeiandika nikiwa na uchungu na hasira kama YESU WA NAZARETI alivyo na hasira kuhusu watoto wake na jinsi ya kike baadhi yao wanafanyiwa matendo ya kudhalilishwa bila kujua na kupenda wanapoenda katika...

TOBA YA KWELI NA TOBA YA UONGO

[ad_1] Ndugu msomaji nakusalimu katika Jina la YESU KRISTO WA NAZARETI aliye hai, BWANA  wa MABWANA na MUNGU wa MIUNGU. Namshukuru MUNGU kwa kunipa kibali cha kutoa Ujumbe ambao yeye mwenyewe anataka ujue ukweli jinsi shetani alivyogeuza na...

NANI MUUAJI WA WAJANE?

[ad_1] Umewahi kujiuliza ndugu msomaji wa makala hii kwa nini wajane wanahangaika mahakamani na kwenye mabaraza ya wazee wa ukoo kwa maswala ya haki zao? Na pengine hawazipati? Ni kwa sababu viongozi wa kanisa (watumishi wa pesa au matumbo)...