MAELEZO YA YOUTUBE: KRISMASI YA KUZIMU INAVYOSHEREKEWA
NABII HEBRON: Karibu tena ndugu mtazamaji na msikilizaji katika kipindi cha mahojiano kati ya Isaya na Nabii Hebron wa kanisa la YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE ambapo siku ya leo ndugu mtazamaji na msikilizaji kwa mara ya kwanza...
Read moreJE, NI HALALI KUIPINDUA SIKU YA BWANA WATU WASIENDE KANISANI? (KUMBUKUMBU LA TORATI 5:12-15)
BWANA YESU asifiwe. Tunajua kabisa hakuna, na tunaheshimu; na zaidi ya vitu vyote duniani na mbinguni, hakuna zaidi ya MUNGU aliyetuumba sisi na vitu vyote. Mwaka 2015, hapa Tanzania kuna jambo baya sana lililofanyika la kuipindua ile siku ya...
Read moreJE NI SAHIHI KUFANYA IBADA KATIKA KANISA LENYE KABURI NDANI YAKE?
Kama nilivyokwisha elezea katika makala ya Nabii Hebron yaliyopita, nilishaelezea ni kwa nini Petro (yule mtume wa YESU) alivyouliwa alizikwa ndani ya kanisa. Ile ina maana hii; Petro yuko na YESU wa kweli, yeye amezikwa asiandike tena katika...
Read moreJE, NI SAHIHI KUFANYA MAOMBI KATIKA KABURI LA YESU AU KATIKA MAKABURI YA MITUME?
BWANA YESU asifiwe, watu wote wa mataifa yote, au kwa jina lingine huyu YESU anaitwa Nabii Issa. Katika makala hii ya Nabii Hebron, nitaelezea na kuweka kweli kwa watu wote, ili hii kweli iwaweke watu huru na siku moja mfike mbinguni sababu hata...
Read morePICHA ZA TAWI LA KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE LILILOPO DAR ES SALAAM
KANISA HILI LIPO MBEZI SALA SALA. UNASHUKIA KITUO CHA AFRICANA BARABARA YA BAGAMOYO-TEGETA. LIPO KARIBU NA NJIANI, UTAKAPO SHUKA KATIKA KITUO CHA AFRICANA CHA BASI UTAONA KIBAO CHA KANISA HILI NA KITAKUELEKEZA, UTAFUATA ALAMA YA MSHALE ULIOPO...
Read moreMAELEZO YA YOUTUBE: AGENT WA KUZIMU AKAMATWA
Nabii Hebron: Kaaa. Nabii Hebron: Hii inatoka kuzimu kabisa hii Nabii Hebron: Tena ametumwa kumuua Hebron Nabii Hebron: Kaeni chini msiogope Nabii Hebron: Umefuata nini hapa? Agent wa kuzimu: Tumekuja Nabii Hebron: Mmekuja kufanya nini Agent wa...
Read moreMAELEZO YA YOUTUBE: MTUME NA NABII HEBRON AMKAMATA MTOTO WA KIKE ANAYEIBA KWA UCHAWI BILA KUVUNJA MLANGO
Nabii Hebron: Unanichezea? Nabii Hebron: Unanichezea? Nabii Hebron: Hilo jiwe mkononi ni ya nini? Annastazia: Nimeokota Nabii Hebron: Umeokota wapi? Nabii Hebron: Njoo hapa Nabii Hebron: Utanieleza leo kila kitu Nabii Hebron: Leta hapa Nabii...
Read moreMAELEZO YA YOUTUBE: BINTI ALIYEREJESHWA TOKA ANGA LA TATU
Nabii Hebron: Jina lako nani na unafanya nini hapa Magreth: mimi ni krishna Nabii Hebron: wewe ni nani? Magreth: Krishna Nabii Hebron: krishna wewe unatoka wapi Magreth: natoka bahari ya india Nabii Hebron: bahari ya india? Nabii Hebron...
Read more