MAELEZO YA YOUTUBE: BINTI ALIYEREJESHWA TOKA ANGA LA TATU

MAELEZO YA YOUTUBE: BINTI ALIYEREJESHWA TOKA ANGA LA TATU

[ad_1]



Nabii Hebron: Jina lako nani na unafanya nini hapa

Magreth: mimi ni  krishna
Nabii Hebron: wewe ni nani?
Magreth: Krishna
Nabii Hebron: krishna wewe unatoka wapi
Magreth: natoka bahari ya india
Nabii Hebron: bahari ya india?
Nabii Hebron: umefanya nini kwa huyu binti hapa
Nabii Hebron: krishna umefanya nini hapa
Magreth: naomba niondoke
Nabii Hebron: uondoke umefuata nini hapa?
Magreth: tulimchukua tokea tumboni mwa mama yake tunaomba tuondoke.
Nabii Hebron: Toka tumboni mwa mama yake?
Magreth: naomba tuondoke; tulimchukua lakini alikuwa ni wa kwetu tokea akiwa mtoto
Nabii Hebron: si alibatizwaga huyu?
Nabii Hebron: Hiyo ubatizo haikumsaidia?
Nabii Hebron: Hiyo maji madogo haukumsaidia?
Magreth: Naomba tuondoke….
Nabii Hebron: krishna india nawateketeza. Hakuna cha nini wala nini kemcho hapa, piga…
Nabii Hebron: Rudisha vyote.
Nabii Hebron: mnamfanyisha nini huyu huko india?
Magreth: anatuangushia meli
Nabii Hebron: eeeeeeh
Nabii Hebron: anawaangushia meli?
Nabii Hebron: anawaangushia nini? sema krishna..
Magreth: anatuangushia meli
Nabii Hebron: meli kivipi?
Nabii Hebron: meli ngapi ameshaangusha huyu?
Magreth: ameangusha meli nne
Nabii Hebron: meli nne?
Nabii Hebron: hao watu mkawapeleka wapi?
Magreth: tunakunywa damu zao.
Nabii Hebron: Ahaaaaa…
Nabii Hebron: halafu mnapata faida gani?
Nabii Hebron: Mnapata faida gani??
Nabii Hebron: piga kwa damu ya YESU, Sema..
Nabii Hebron: Mnaona meli zinavyoangushwa? Wanawalaumu mabaharia…
Nabii Hebron: weee krishna.. Piga krishna. Achia haraka kila kitu. Na wale watu wote mliokunywa damu
zao leta, mimi nawataka wote. YESU amenituma waleteni hapa wote. Leteni wote mliokunywa damu zao
Magreth: Wako kule katikati ya bahari
Nabii Hebron: Natuma malaika wakawatoe katikati ya bahari
Nabii Hebron: Watu waliokufa kwenye bahari wapogo baharini tu.
Nabii Hebron: haya walete wote. Achia. Haraka
Magreth: Mwambieni krisna atawapa ndio amekalia kile kiti
Magreth: Huyo hapo mwambieni amekuja.
Nabii Hebron: Nakipasua kiti chako kwa damu ya YESU. Haraka MUNGU amenituma kwa watu wa mataifa yote. Mnaona watoto wa MUNGU wanavyoteseska?
Nabii Hebron: EEeeh
Nabii Hebron: Mnaona?
Nabii Hebron: Haya achia kila kitu.
Magreth: Tunamhitaji Magreth tu, hatuhitaji mtu mwingine. Tunamhitaji yeye tu.
Nabii Hebron: Magreth ni wa YESU amekuja kwa YESU leo.
Magreth: Kwa nini amekuja kanisani? tumemwambia asije
Nabii Hebron: Asije eeeee
Nabii Hebron: Yeye ni mjanja, sio mpumbavu bwana. Wewe unayekataa kuja huku shauri yako.Toa vyote krishna, vunja. vunja… Naomba annointing oil; toa vyote haraka. Nachoma ufalme wenu
Nabii Hebron: akina krishna, naubomoa kwa damu ya YESU KRISTO wa Nazareti.
Magreth: Kamchukueni
Nabii Hebron: Leta hapa
Magreth: Kamchukueni Magreth
Nabii Hebron: Leta, Magreth aletwe hapa. Magreth njoooooo…
Nabii Hebron: Mnaona mtu anatembea boksi?!
Nabii Hebron: Nikisema kitu hapa lazima kitimie.
Nabii Hebron: Njoo Magreth haraka.
Magreth: Nakuja
Nabii Hebron: Na nyota yake na vitu vyake vyote
Magreth: Yuko anga la tatu
Magreth: Moyo wake uko chini ya kaburi la mtoto wake
Nabii Hebron: Mnaona?
Nabii Hebron: Haya moyo wake uletwe, anga la tatu njoo….. naenda mpaka anga la tatu nakuchomoa kwa damu ya YESU. Nawapiga wote anga la tatu wote nawaua ua.. Magreth njoooo…
Nabii Hebron: Huyu ndio Magreth sasa.
Nabii Hebron: Magreth
Nabii Hebron: Magreth
Magreth: Beee
Nabii Hebron: Hujambo?
Magreth: Sijambo, shikamoo
Nabii Hebron: Marahaba.
Nabii Hebron: Ulikuwa wapi?
Magreth: Nilikuwa huko nateseka, nalishwa nyama za watu
Nabii Hebron: Ulikuwa unafanywaje?
Magreth: Nalishwa nyama za watu usiku na mchana
Nabii Hebron: Usiogope
Nabii Hebron: Nani alikuwa anakulisha?
Magreth: Walikuwepo watu warefu, na wengine ni wafupi.
Nabii Hebron: Wa rangi gani?
Nabii Hebron: Ni wahindi
Nabii Hebron: wahindi wamevaa nini
Nabii Hebron: wamevaa magauni wanafunga hapa hivi(akionyesha bega) hapa hivi
Nabii Hebron: wakakufanyisha nini
Magreth: Wananituma nikachukue watoto wa watu hospitali, nikaangushe na meli
Nabii Hebron: enheee
Nabii Hebron: usiogope.
Magreth: Nimeteseka muda mrefu
Nabii Hebron: umeteseka sana?
Magreth: sana
Magreth: Nalala usiku wanakuja kunichukua kunifanyisha kazi
Nabii Hebron: Kazi gani?
Magreth: Wananituma hospitalini kwenda nikachukue watoto
Nabii Hebron: Na umechukua watoto wangapi?
Nabii Hebron: Nimechukua watoto wa watu watatu pamoja na mtoto wangu mchungaji
Nabii Hebron: Mtoto wako atarudi usiogope
Nabii Hebron: Usiogope
Nabii Hebron: Usiogope
Nabii Hebron: Mtoto wako huko aliko ninatuma malaika naye namchukua.
Nabii Hebron: Nimemchukua na yeye.
Nabii Hebron: Usiogope. wewe huna makosa, Kanisa halipo.
Nabii Hebron: Magreth,
Magreth: Bee..
Nabii Hebron: Wakati unatolewa huko anga la tatu ni nini kimetokea? Umeona nini?
Nilikuwa naona watu wanawaka moto nawaambia wanisaidie wananikimbia
Nabii Hebron: saa ngapi walikuwa wanakukimbia?
Magreth: Kuna muda hivi nilikuwa nasikia kwa mbali mama ananiambia twende kanisani
Nabii Hebron: Enhee..
Nilikuwa naona moto unawaka
Nabii Hebron: Enheeee.
Magreth: Sijui nilikuwa wapi, sipaelewei elewi, pako pako tu pa ajabu.
Nabii Hebron: Na sasa hivi wakati unarudishwa?
Magreth: Nilikuwa naona watu wananivuta lakini bado tu naona moto unaniwakia mwilini.
Nabii Hebron: Mpaka umerudi duniani kutoka anga la tatu ni nini kimekutoa? Nini kimetokea huko?
Magreth: Bado tu walikuwa wanahangaika, naungua moto nawaambia wanisaidie hawataki.
Nabii Hebron: Mbona umefika hapa? Ni nini kimekufikaisha hapa?
Magreth: Sijui
Nabii Hebron: Ni YESU amekufikisha; aliyeko ndani yangu. Nikisema uje unakuja tu, nikisema kazi yako
ikuje, inakuja tu.
Nabii Hebron: Magge….
Magreth: Beee.

Nabii Hebron: Kazi kwisha huyu, ameshatoka gerezani. 

[ad_2]