MARAIS WALIO FARIKI TOKEA MWAKA 1949 HADI 3.8.2013 WAPO KUZIMU WAMEKATALIWA NA MUNGU

MARAIS WALIO FARIKI TOKEA MWAKA 1949 HADI 3.8.2013 WAPO KUZIMU WAMEKATALIWA NA MUNGU

[ad_1]

NABII HEBRON AKIWA NA BABA YAKE WA KIROHO ALIYEMZAA- MOSES KULOLA.

Ndugu msomaji  wa makala hii, habari hizi ni za kweli. Mnamo tarehe 3.8.2013, BWANA YESU alipokuwa akinifundisha kuhusu kazi yake na jinsi ilivyoharibika, watumishi wameshabadili  neno lake na kuwa kinyume na yeye alivyopanga yeye ambaye ndiye njia ya uzima na y a kweli, wengi wamekuwa wachawi na kujiingiza kwenye chama cha freemason cha shetani.  Ila shoka lake tayari lipo juu yao, maneno haya nimemnukuu, kama alivyonieleza  ukiamini sawa ukikataa shauri lako, utakuja  kulia kama hao  viongozi . (Marais na wafalme wa n chi mbalimbali katika ulimwengu huu wanateseka sana kuzimu), wakiwamo wanajimu wote katika dunia hii, wote waliokufa wamekataliwa na MUNGU wanateseka mateso yasiyoelezeka  maana niliwaona kwa macho yangu japo  na viongozi  wa dini  wengi 99 % waliokufa  wamekataliwa na baadhi ya wanamiziki  maarufu duniani  waliokufaga wote wapo kuzimu, wanateseka mateso yasiyoelezeka  wanatamani hata kuja huku duniani  wa waonye msitende dhambi  na kila miziki yao ikipigwa huku duniani ndivyo wanavyoteseka zaidi.

Ila mlango nulishafungwa na malaika Mikaeli hakuna kutoka. YESU akaniambia nimekuonyesha ili uone hali halisi jinsi watu wanavyoangamia kwa dhambi, wameacha kutengeneza maisha yao wanajidanganya wakifa watafanyiwa ibada za wakfu na maombezi , YESU wa Nazareti akaniambia anayenitaka sasa hivi ndiye ninaye mtaka  mimi. ( Akaniambia anitafutaye kwa bidii  ataniona ) na anayesema muda bado atanitafuta baadaye na mimi huyo simtaki.
Akaniambia ndivyo ilivyo kwa hao marais wa  nchi  mbalimbali nimekuonyesha uone hali halisi. Akaniambia  hawa maraisi walio nikataa mimi walikuwa wamejieleza kuwa wakifa  wataombewa  na watapokelewa , na ni makanisa kupitia watumishi  watumishi wasio sema kweli na kuwapoteza watu wasitengeneze maisha yao kwa kunirudia mimi  kwa kunirudia mimi YESU, akaniambia  soma katika kitabu cha Waebrania 9:27-29 Imeandikwa hivi , kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja , na baada ya kufa  hukumu, kadhalika  KRISTO naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja  azichukue  dhambi za watu wengi atatokea mara ya pili, pasipo dhambi kwa hao watazamiwao kwa wokovu (Hapa utaona Neno linasema ukishakata roho tuu, kama hujatengeneza  na y eye  kinachofuata ni hukumu).
Sasa ndugu msomaji  wa nchi yeyote , taifa lolote na bara lolote, kilicho waponza hawa viongozi  au watu maarufu kukataliwa  na MUNGU  walivyokuwa  hai walitegemea ibada za wakfu, na ibada za mazishi yao wataombewa  na watumishi wengi na watu wengi  hivyo watapokelewa.  Kwa MUNGU  siyo hivyo, hizo ibada za wakfu ni ujanja wa shetani  kuwapumbaza watu ili wasiurithi ufalme wa MUNGU. Niliogopa sana akanionyesha, embu angalia mazishi  na ibada kubwa zisizo elezeka  za kufana  wakati marais hawa na wafalme wakizikwa. Je ! kwa nini hawajapokelewa paradise,? Si kuwa na jibu, akaniambia muda wa watu kunifuata mimi YESU na kunipata ni sasa, hawa wengine wanategemea wataombewa  na watu wengi na nyimbo  zitaimbwa na makaburi ya kifahari na wengine hata wanakaushwa ili wasioze, lakini MUNGU haangalii hayo.
Akaniambia  waeleze watu wote habari hii hata wasiokujua  wote  ni watu wa MUNGU anayetaka kupona  apone atakaye kaza  shingo yake kuwa ngumu shauri yake, ( KUZIMU NA JEHANAMU  INAWASUBIRI). Ni mekuonyesha hayo ili ujue namna ya kuueleza ulimwengu wote na ole wake atakayejaribu kukuzuia, kwanza hataweza na pili itakuwa ndiyo mwisho wake kuishi katika ulimwengu  huu ni yeye YESU ndiye atakaye mshughulikia  haijalishi upo mwenyewe kimwili.
Mwanadamu ni nani hata ashindane na mimi MUNGU? Mimi ndiye niliyemuumba na nikitaka muda wowote naweza  kumuangamiza. Akaniambia Eliya kipindi kile alikuwa mwenyewe kimwili na mabaali walikuwa 450, ila Eliya aliwaangamiza. Akaniambia naelewa na ninaona kila kitu hapa duniani. Na ndivyo itakavyokuwa songa mbele  waeleze watu ukweli usiogope mtu yeyote, shetani amewateka watu wengi  sana na hawajijui.  Tazama ni miaka 64 imepita toka mwaka 1949 hakuna Rais aliyeenda paradise wanasubiri hukumu siku ya mwisho.
Enyi wanadamu  tengenezeni maisha yenu  msije mkaangamia mkidhani  mkifa mtafanyiwa ibada  mtakubaliwa,  nakupa mfano je wewe, uliye mtu wa kawaida  hutaki kutengeneza maisha yako je wewe utaombewa na watu wengi kama inavyofanyikaga kwa marais au wafalme? Jibu hapana, wao waliombewa na  watu wengi na siyo ajabu  maombi ya nchi nzima ila wamekataliwa! Je wewe unayeombewa na watu wachache utapokelewa? Jibu hakuna.
Alipomaliza kusema na mimi akaniaga akaniambia mwanangu, mimi ninarudi kwenye kiti cha enzi nitakuja tena wakati mwingine. Niliduwaa  nikarudisha picha za mazishi ya viongozi wa nchi  mbalimbali pamoja na maombezi yote, hakuna kitu na jumla ya miaka 64 imepita  katika ulimwengu huu hakuna  RAIS au mfalme aliyepokelewa na MUNGU hata wale walionyongwa au kuuwawa. Kweli MUNGU ni  wa haki  upandacho ndicho utakacho vuna, ukipanda dhambi utavuna hukumu, ukipanda mema paradiso.
Nawasihi wanadamu wote huu ni  wakati okokeni tengenezeni maisha yenu ukisha kata roho tu basi,  haki yako inakusubiri kama ni  hukumu au paradise. Msidanganyike eti mazishi yalifana na maombezi. MUNGU  anaangalia  yule aliyekufa. Kila mtu atasimama  mbele za YESU kusomewa mashitaka yake na hakuna wa kukutetea  hivyo ndivyo  fomula ya MUNGU.
Hesabu hizi  za kipindi cha miaka 64 tokea mwaka 1949 hadi tarehe 3.8.2013 hakuna Rais yeyote aliyefariki aliyepokelewa paradise.na ni wengi sana . MUNGU haangalii cheo, utajiri wako ni uhusiano kati yake na wewe tu.
Mwisho wa nukuu , Nukuu ya YESU wa Nazareti.
NOTE:
Miaka hii yote 64 ni ulimwengu wote , ukitaka kujua Rais aliyekufa au mfalme chunguza kama alikufa kati ya kipindi hiki 1949- 3.8.2013. utaujua ukweli.
Mrudieni YESU watu wote wa ulimwengu, kuitwa mkristo  tu jina siyo tiketi yako ya kwenda mbinguni. Ni Wokovu na Utakatifu tu.
NABII  HEBRON.

[ad_2]