Matukio katika picha, ibada ya tarehe 30-12-2012

Matukio katika picha, ibada ya tarehe 30-12-2012

[ad_1]

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA, IBADA YA LEO TAREHE 30 DESEMBA 2012.

Mtume na Nabii Hebron akiombea waumini katika ibada ya leo, ambapo wana wa MUNGU wamefunguliwa kutoka katika vifungo mbalimbali, baada ya NENO (Kutoka 14:15-17; 24-30), ambapo watu wengi walitolewa utumwani Misri katika magandamizo ya Farao na MUNGU aliliteketeza lile jeshi la Farao.

Jeshi la Farao lililokuwa likimfuata dada huyu ili kumuangamiza, likiteketezwa na MUNGU kupitia Mtume na Nabii Hebron katika ibada ya leo, ambapo dada huyu aliponywa katika kutoka vifungo alivyokuwa akitumikishwa na yule mwovu shetani. Alipokea uponyaji wake kupitia NENO la MUNGU (Kutoka 14:15-17; 24-30).
Waumini waliofurika katika ibada ya leo wakiimba nyimbo za kusifu na kuabudu. Wote waliombewa na wenye vifungo walifunguliwa bure.

Ukihitaji kufika kanisani, fuata ramani hii.

 Kwa msaada wa kiroho, wasiliana nasi;

+ 255 759 610 820
+ 255 718 154 433
+ 255 718 916 864
+ 255 764 042 149


Email:

[email protected]


Imeandaliwa na Priscus & Dorcas Macrine,

KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE.

[ad_2]