Close

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2020

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2020

Shalom. Nawasalimu kanisa na watu wote wa mataifa yote.

MUNGU awalinde muwe na Christmas njema na mvuke mwaka huu kwa ushindi muupokee mwaka 2020. Mzidi kusimama imara na kutetea injili ya kweli, mzidi kuisikiliza sauti ya MUNGU na mkatae sauti za wanadamu wote zinazopinga kweli ya MUNGU, mkatae sauti za mafundisho ya uongo, mapokeo ya wanadamu yanayochanganywa na neno la MUNGU, kila mtu ayakatae, kwa njia hiyo utabarikiwa sana na pia MUNGU atakupenda.

Ambao hamjaokoka muokoke kabla mlango wa mbinguni haujafungwa. YESU kaniambia anarudi kuwachukua wale ambao walisikiliza sauti yake na kuitii na siyo kusikiliza tu.

Mbarikiwe.

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR.


PROPHET HEBRON.