Close

PICHA KATIKA SEMINA ILIYOFANYIKA KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE- MBEZI AFRICANA

PICHA KATIKA SEMINA ILIYOFANYIKA KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE- MBEZI AFRICANA


WENGI WAMEFUNGULIWA VIFUNGO MBALI MBALI, WAMEPONYWA UKIMWI, WAMEPONYWA FIGO NA MAGONJWA YA MIGONGO, MIGUU KUWAKA MOTO, MIGUU KUUMA MIAKA MINGI BILA KUTIBIKA. MIKONO KUTETEMEKA. WALIKUWA HAWASHIKI PESA WAMEFUNGULIWA AU KUFANYA KAZI WAKAONA FAIDA. KUTOKWA DAMU MIAKA MINGI ZIMEKATIKA. KUPONYWA UVIMBE KATIKA MIILI. MAJINI YAMETOLEWA KWENYE MIILI. KUFUFULIWA KIROHO NA KIMWILI. KURUDISHIWA VIBALI, KUPONYWA KISUKARI NA PRESSURE NA WOTE WALIOKUWA WANATESWA NA NGUVU ZA GIZA NA MATESO MENGINE YOTE NA VIFUNGO VYOTE, WATU WALIFUNGULIWA KWA JINA LA YESU

NA WENGI WALIMREJEA BWANA YESU NA KUOKOKA! JINA LA YESU LIBARIKIWE.