Close

UNABII KUHUSU SPIKA WA BUNGE KATI YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI (TANZANIA, KENYA, UGANDA….)

[ad_1]

BREAKING NEWS……………………………… “For East African countries”
Ndugu msomaji wa blog hii ninakusalimu katika jina la YESU KRISTO wa Nazarethi, aliye hai, BWANA wa Mabwana, Mfalme wa Wafalme, wala hakuna mwingine zaidi yake.

Spika wa bunge katika mojawapo kati ya nchi za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda na Tanzania) ataondolewa madarakani wakati wowote kuanzia sasa. Kazi hii ni YESU mwenyewe anaifanya kwa hiyo itakapotokea msishangae. Haya yametabiriwa na Mtume na Nabii Hebron na kuletwa kwako msomaji wa blog hii moja kwa moja.

[ad_2]