Close

WAIMBAJI WA MUZIKI YA INJILI WENGI WAO SASA HIVI NI WATUMIAJI WA COCAINE, BANGI, WACHAWI, WALEVI, WAFISADI.

[ad_1]

Ni jambo la aibu kwa waimbaji wa miziki ya injili, wanalitumia jina la YESU kulichafua kwa matendo yao ambayo hayaendani hata na nyimbo wanazoimba na kumtaja YESU na walijifanya wanaeneza injili. Nawaeleza watu wote katika ulimwengu wote, huu ni wakati wa kulitetea jina la YESU, msikubali kabisa watu wavitende maovu yao halafu wanajihusisha na jina la YESU, huku ni kumchafua YESU.
Katika Tanzania waimbaji wengi maarufu ni wala unga na katika nchi mbali mbali na mabara yote. Ninachowaeleza hawa siyo watumishi wa MUNGU katika uimbaji hawa ni watenda kazi wa shetani ambao ndani yao ipo roho ya kuchafua jina la YESU, japo na wao wenyewe wanajijua 100% hawamtumikii YESU kabisa. Na wenye tabia hizo nimekuta ndio waizi wa huduma za wenzao na kuwaua kiroho waimbaji wenye wito wa kweli wa kutoka kwa MUNGU. Na ili uamini kwa macho embu serikali zote kila nchi muwapime afya zao, majibu utayasikia. Wengi ni wala madawa ya kulevya. Sasa waimbaji wenye matendo hayo unaposikiliza nyimbo zao tu tayari na wewe kuna roho ya kukua roho yako usikue kiroho urudi kwenye dhambi hata kama umeokoka.
Nyimbo hizo zina nguvu za giza, japo hauwezi kujua mpaka uwe na macho ya rohoni. Kwa urahisi chunguza muimbaji yeyote wa nyimbo za injili, ukikuta mkao wake ni mchafu tayari elewa hapo ni sifuri. Anatumika kumwaga roho za kuwavuvia watu wadumae kiroho. Na shetani ndiye anayewapa hizo nyimbo. Nyimbo hizo hazina mvuto, ni makelele matupu, na pia chunguza staili zao katika kuimba, ukikuta kazi yao ni kukata kiuno (kama staili ya uzinzi) hiyo ni dalili nyingine tena uelewe. Hivi kibinadamu unaweza katika kiuno mbele ya Baba yako? Jibu siyo. Hii ni kukosa adabu, na MUNGU anakosewa sana na waimbaji hawana heshima kwake, wanakatika kiuno?! Hii ni staili ya kuzimu wala hawamuimbii MUNGU bali wanamtukuza shetani. Nyimbo za waimbaji wa namna hii unapokuwa nazo na wewe unanajisika na unadhoofika roho yako, maana ni roho ya kuuwa ipo ndani yao.
YESU hashirikiani na waimbaji wala madawa ya kulevya, wala wauza madawa ya kulevya, walevi, wazinzi, wachawi, freemason, wafisadi. UFUNGUKE UELEWE NA ROHO YAKO IPONE.

NABII HEBRON.

[ad_2]