KUHUSU UCHAGUZI WA RAIS KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI 2013

Posts / kuhusu-uchaguzi-wa-rais-katika-nchi-za_17

17 Feb 2013 • Prophet Hebron
KUHUSU UCHAGUZI WA RAIS KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI 2013
Nakusalimu kwa jina la YESU KRISTO wa Nazarethi, aliye hai, Mfalme wa Wafalme.

Huu ni unabii ambao tayari ndivyo ilivyo na itakavyokuwa, ndiye Rais atakayeshinda uchaguzi wa rais. Japo kabla ya kumtaja, kwanza kabisa iliandaliwa mipango ya kuhakikisha hataishi, ila MUNGU ndiye anayemlinda na hakuna la adui litakalofanikiwa juu yake, ila asijishughulishe na mambo ya kishirikina atamuudhi YESU na kuachwa, hivyo kusababishwa uchaguzi kurudiwa upya.

Atakayekuwa rais ni mgombea ambaye ni waziri mkuu katika nchi hiyo, na huyu kupitia yeye nchi itainuliwa sana na maisha ya wananchi hao yatakuwa mazuri.

Nabii Hebron.

Previous Post MNYAMA MWENYE PEMBE KUMI NA VICHWA SABA AKAMATWA 17TH JANUARY 2013. UFUNUO WA YOHANA 13: 1-10
Next PostMJUE YESU KRISTO WA KWELI NA YESU KRISTO WA UONGO