HAPPY PASSOVER 2020! HERI YA PASAKA 2020!

HAPPY PASSOVER 2020! HERI YA PASAKA 2020!


Shalom watu wote wa mataifa yote. Nawasalimu kwa jina la mwokozi YESU wa Nazareti ambaye ndiye anayesababisha kuwepo siku hii ya ukombozi wa viumbe vyote. Nawatakia heri na baraka zake.

Na pia nakukumbushia kuhusu yale aliyoniambia MUNGU kuhusu miungu ya kuwa kila mwanadamu asiabudu tena maana atakosa amani na itaondoka kwake na kwa watu ambao wataendelea kuiabudu. Anasema miungu haina hata utajiri, wala fedha, wala uhai, vitu vyote ni mali yake yeye aliye Alfa na Omega kwa hiyo mrejeeni hiki ni kipindi cha neema kabla hali haijawa mbaya labda uwe haujui au unajua sasa uelewe. Kumbukeni hata uhai ulionao wewe mwanadamu upo katika mkono wa MUNGU,
Read More

Live a Reply

Live Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *