NINI MAANA YA KUJITWIKA MSALABA

[ad_1] LUKA 9:23 Neno la MUNGU linasema hivi, akawaambia wote, mtu yeyote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku anifuate. Ndugu msomaji wa makala ya Nabii Hebron YESU WA NAZARETI anawapenda watu wote wa mataifa...

WAKRISTO HAWAMTII YESU!!!

[ad_1] Wakristo wengi katika ulimwengu wote hawamtii YESU WA NAZARETI kama ndiyo BWANA na mwokozi wao, bali wameanza kumtii yesu wa uongo na kukataa kumtii YESU WA NAZARETI, ambaye ndiye YESU WA KWELI, wengi mtajiuliza ni kivipi wakristo hawamtii...