JE, NI HALALI KUIPINDUA SIKU YA BWANA WATU WASIENDE KANISANI? (KUMBUKUMBU LA TORATI 5:12-15)
BWANA YESU asifiwe. Tunajua kabisa hakuna, na tunaheshimu; na zaidi ya vitu vyote duniani na mbinguni, hakuna zaidi ya MUNGU aliyetuumba sisi na vitu vyote. Mwaka 2015, hapa Tanzania kuna jambo baya sana lililofanyika la kuipindua ile siku ya...
Read more