JE UNAFAHAMU BINADAMU AMBAYE NDIYE RAIS WA SERIKALI YA SHETANI?
[ad_1] Nawasalimu kwa jina la YESU KRISTO aliye hai ndiye BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE na ndiye mwana wa MUNGU wa pekee leo ninawafunulia jambo jipya ambalo ulimwengu wote haujui, ila mimi Hebron kwa neema ya YESU yeye aliyeniita nimtumikie...