Close

UCHAGUZI MKUU KENYA 2013

UCHAGUZI MKUU WA KENYA 2013 Nawasalimu katika jina la YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai, BWANA WA Mabwana, MUNGU wa Miungu, ambaye ndiye MUNGU wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Ndugu Wakenya, MUNGU anawapenda sana. Niliyajua haya nilipowekewa mizigo...

Read more
TANZANIA NDIYO EDENI YA SASA

TANZANIA NDIYO EDENI YA SASA

UTANGULIZI: Ndugu msomaji, nakusalimu katika jina la YESU KRISTO wa Nazareti, ambaye pia ndiye BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE, wala hakuna mwingine aliyewahi kutokea zaidi ya huyu. Huyu ndiye MASIHI wa MUNGU aliyeuumba ulimwengu wote ikiwamo...

Read more