NANI MUUAJI WA WAJANE?

[ad_1] Umewahi kujiuliza ndugu msomaji wa makala hii kwa nini wajane wanahangaika mahakamani na kwenye mabaraza ya wazee wa ukoo kwa maswala ya haki zao? Na pengine hawazipati? Ni kwa sababu viongozi wa kanisa (watumishi wa pesa au matumbo)...