PICHA ZA TAWI LA KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE LILILOPO DAR ES SALAAM
[ad_1] KANISA HILI LIPO MBEZI SALA SALA. UNASHUKIA KITUO CHA AFRICANA BARABARA YA BAGAMOYO-TEGETA. LIPO KARIBU NA NJIANI, UTAKAPO SHUKA KATIKA KITUO CHA AFRICANA CHA BASI UTAONA KIBAO CHA KANISA HILI NA KITAKUELEKEZA, UTAFUATA ALAMA YA MSHALE...