JE UNAMJUA MUSA WA UONGO?

[ad_1] Yamkini ni jambo jipya kwako ila mimi Nabii Hebron nakufunulia siri hii ujue kuwa yupo Musa wa uongo na makao yake yapo kuzimu, japo Musa wa kweli aliyewaongoza wana wa Israeli kutoka Misri na kuwatoa kwa Farao, huyu yupo mbinguni na yeye...