Close

IBADA YA NABII HEBRON ITARUSHWA LIVE KILA SIKU ZA JUMAPILI

IBADA YA NABII HEBRON ITARUSHWA LIVE KILA SIKU ZA JUMAPILI


BWANA YESU ASIFIWE WATU WOTE WA MATAIFA YOTE. TUNAFURAHA YA KUWATANGAZIA KUWA KUANZIA KESHO TAREHE 21.10.2018 NA KILA SIKU ZA JUMAPILI IBADA YA KANISA LA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE LINALOONGOZWA NA MTUME NA NABII HEBRON ITARUSHWA LIVE KUANZIA SAA SITA MCHANA (E.A.T) MPAKA SAA SABA NA NUSU MCHANA (E.A.T). 
WATU WOTE MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI PAMOJA NASI KATIKA IBADA KUPITIA LINK HII 
UKIPATA LINK HII MTUMIE NA MWENZAKO ILI NA YEYE ASIIKOSE NEEMA YA INJILI YA KWELI.
MUNGU AWABARIKI.