Matukio katika picha, leo tarehe 16 Februari 2014

Matukio katika picha, leo tarehe 16 Februari 2014

[ad_1]

Mtume na Nabii Hebron wa Kanisa la YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE akiwaombea wagonjwa na wenye vifungo mbalimbali katika ibada ya leo tarehe 16 Februari 2014, ambapo wote waliponywa papo hapo. Huduma hutolewa bure.
Mtume na Nabii Hebron akiombea wagonjwa na wenye shida mbalimbali. Wote walipona na kufunguliwa papo hapo.
Mgomjwa aliyekuwa na tatizo la kutokuona vyema akiombewa na Mtume na Nabii Hebron.
Mtume na Nabii Hebron akimwombea mgonjwa wa macho ambaye alikuwa na tatizo la kutokuona vizuri.
Baada ya maombi mgonjwa huyu ameshuhudia macho yake kuona vyema. Uponyaji huu ulifanyika papo kwa hapo.  Huduma inatolewa bure.

[ad_2]