MATUKIO MBALI MBALI KATIKA IBADA YA SIKU YA BWANA 15.2.2015

MATUKIO MBALI MBALI KATIKA IBADA YA SIKU YA BWANA 15.2.2015

[ad_1]

MCHUNGAJI SOPHIA (DORCAS) MDEE AKIFUNDISHA SOMO LA UTANGULIZI.

MAMA ALIKUWA ANAUMWA KICHWA NA MOYO NA KUANGUKA ALIPONA HAPO HAPO.

BINTI WA KIMAASAI APONYWA UGONJWA WA MOYO NA MAJINI YALITOKA KWENYE TUMBO LAKE. AKAWA HURU KWA JINA LA YESU.

KIJANA HUYU KUTOKA KENYA ALIKUJA KANISANI BAADA YA MADAKTARI WA KENYATTA HOSPITAL KUSHINDWA KUMTIBU NA MADAWA KUTOKUFANYA KAZI.

KAPONYWA UGONJWA WA MOYO AMBAO ULIKUWA UMEPARALYSE UPANDE MMOJA NA KURUDI KENYA NA UPONYAJI, FURAHA NA AMANI YA YESU.

MTOTO APONYWA MAGONJWA YALIYOSHINDIKANA NA HOSPITALI. BAADA YA WAZAZI WAKE KUHANGAIKA NA HOSPITALI MBALI MBALI AKALETWA KANISANI NA KUPOKEA UPONYAJI WAKE LIVE LIVE.

BINTI PEPE KUTOKA MOSHI ALIKUWA HAWEZI KULA CHAKULA. KICHWA NA MIGUU KUWAKA MOTO NA TUMBO LAKE LILIKUWA NA MAJINI. ALIFUNGULIWA NA KUPONYWA HAPO HAPO.

KIJANA KUTOKA MOSHI ALIKUWA ANASUMBULIWA NA NGIRI NA ALIPOENDA KCMC WALISHINDWA KUMTIBU, HAWAKUONA KITU CHOCHOTE. BAADA YA KUSIKIA MAHUBIRI YA NABII HEBRON KWENYE KIPINDI CHA MOSHI FM 90.2. AKAAMUA KUJA KUOMBEWA.

KIJANA AKIMSHUKURU NABII NA KUMUAMBIA MUNGU AMBARIKI BAADA YA KUPOKEA UPONYAJI KWENYE SEHEMU ZAKE ZA SIRI NA KUONDOLEWA ILE SHIDA ALIKUWA NAYO.

MAMA AUNGUZWA NA MOTO WA YESU NA MAJINI KUTOKA HAPO HAPO.

WENGI WALIREJESHEWA NDOTO ZAO, NYOTA ZAO, KAZI, BIASHARA, NAFSI ZAO, UCHUMI WAO NA KUFUNGULIWA VIFUNGO MBALI MBALI. 
WENGI WALIPONYWA MAGONJWA MENGI YALIYOSHINDIKANA BURE.
NA UFALME WA SHETANI ULIANGAMIZWA.

[ad_2]