PICHA MBALI MBALI KATIKA IBADA YA MAJIBU 09.01.2015

PICHA MBALI MBALI KATIKA IBADA YA MAJIBU 09.01.2015

[ad_1]

MAMA ALIYEPONYWA UGONJWA WA KUKOJOA KITANDANI

AMEPONYWA KISUKARI NA MOYO, KICHWA KIZITO NA MIGUU YENYE GANZI TOKEA 2001 SASA IMEPONA.

BAADA YA KUPONYWA HAPO HAPO, MKE WAKE ALIKUWA ANAMFURAHIA.

MZEE WA KIMAASAI KUTOKA TERAT SIMANJIRO ALIKUWA AMEVIMBA MIGUU, MOYO KUUMA, KICHWA KIZITO NA MIGUU KUVIMBA NA KUSHIKA GANZI KWA MUDA YA MIAKA MINNE ALIPONA HAPO HAPO.

                                MZEE AKIFURAHI BAADA YA UPONYAJI NA KUWA MZIMA

NABII AKIMUOMBEA KICHAA.
MZEE APONYWA KISUKARI, MACHO HAYAONI, MIGUU KUGANDA, TUMBO. ALIPONA HAPO HAPO.
SASA ATEMBEA VIZURI AKIWA AMEPONYWA MAGONJWA YOTE.
MTOTO ATOLEWA MSUKULE

WENGI WALIREJESHWA NYOTA, BARAKA ZAO, VIBALI VYAO, KUTOLEWA NGUVU ZA GIZA, MAGONJWA YA SIRI. UKICHAA, KUTOKUWA NA AKILI. KUFUNGULIWA BIASHARA NA KAZI ZAO, NA KUWEKWA HURU BILA KULIPA PESA YOYOTE SABABU HUO NDIO MPANGO WA MUNGU.

[ad_2]