SAFARI YA INJILI YA INJILI YA NABII HEBRON NCHINI ISRAEL (HOLY LAND) KUANZIA 20TH NOVEMBER 2022 – 6TH DECEMBER

SAFARI YA INJILI YA INJILI YA NABII HEBRON NCHINI ISRAEL (HOLY LAND) KUANZIA 20TH NOVEMBER 2022 – 6TH DECEMBER

[ad_1]

BAADHI YA MAENEO ALIYOYATEMBELEA; PALESTINA, BETHLEHEM, JERUSALEM, JERICHO, TEL AVIV, HEBRON, GALILLEE, NAZARETH, JORDAN RIVER, GOLGOTHA/ KABURI LA YESU, GETHSEMANE, TEMPLE OF DAVID, MOUNT GOLIAN, CEASEREA, HEROD’S PALACE, PETER’S HOME IN JERUSALEM, CAPERNAUM, THE TOMB OF PATRIRCHS ABRAHAM, JACOB AND ISAAC AND MATRIACHS SARAH, LEAH AND REBECCA, MEDITERRANEAN  SEA.

IKULU YA HERODE

NABII HEBRON AKIWEPO MOUNT CARMEL KWENYE ENEO AMBAPO NABII ELIYA ALIWACHINJA MABAALI 450.
(1 WAFALME 18: 20-40)

HAPA NDIPO MANABII WA BAALI WALIKATWA VICHWA AKABAKI NABII WA MUNGU NABII ELIYA.
“NA IJULIKANE KAMA YUPO MUNGU WA ELIYA”

KWA CHINI UNAONEKANA MJI WA NAZARETH ALIPOLELEWA BWANA YESU.

NYUMBANI KWA MARIA MAMA WA YESU.

GOLGOTHA
NABII HEBRON AKIWA NDANI YA KABURI ALILOZIKWA BWANA YESU NA KISHA AKAFUFUKA.

NABII HEBRON AKIWA NJE YA KABURI ALILOZIKWA BWANA YESU.
HAPO NDIPO ULIPOLAZWA MWILI WA YESU BAADA YA KUUWAWA NA KISHA AKAFUFUKA.

NANCY AKIWA NJE YA KABURI LA BWANA YESU.

BETHLEHEM

HAPO ALIPOSHIKA NABII NI KWENYE HORI LA NGOMBE ALIPOLAZWA YESU.
 
NABII HEBRON AKIWEPO NA MKE WAKE NANCY.
HAPO NDIPO MAHALI BWANA YESU ALILAZWA BAADA YA KUZALIWA KUTOLEWA KWENYE HORI LA NGOMBE.

SEA OF GALILEE. 

NABII HEBRON AKIBATIZA KATIKA MTO JORDAN

MEDITERENEAN SEA

MAHALI AMBAPO YONA ALIMEZWA NA SAMAKI NA KUTEMWA. (YONA 2)

KABURI LA IBRAHIM; MWANZO 3

KABURI LA LEAH MKE WA YAKOBO

KABURI LA SARAH MKE WAKE IBRAHIM.

MOUNT OF PRECIPICE (LUKE 4:28-30); LUKA 4:28:30

NABII HEBRON AKIWA KATIKA KILELE CHA ULE MLIMA AMBAPO WALITAKA KUMTUPA YESU LAKINI YESU AKAPITA KATI KATI YAO. HAPO ALIPO KANYAGA NDO PENYEWE.

GOLIAN HEIGHTS (CEASAREA PHILIPPI)

NABII AKIWEPO KATIKA ENEO LA GOLIAN HEIGHTS. HAPO KATIKA HILO BONDE NDIPO YESU ALITAMKA KULIJENGA KANISA NDANI YA PETRO, NA NDIPO ALIPOMWITA “PETRO” AMBAYO NI”JIWE” KWA KIEBRANIA.

NABII HEBRON KATIKA SHAMBA LA IBRAHIM LILIPO KATIKA MJI WA HEBRON “PALESTINA”.

[ad_2]