Close

MUNGU AMESEMA WATU WOTE WA MATAIFA YOTE WAACHE KUABUDU miungu (HARAKA)!

MUNGU AMESEMA WATU WOTE WA MATAIFA YOTE WAACHE KUABUDU miungu (HARAKA)!

BWANA YESU ASIFIWE!

Nawasalimu wanadamu wote popote mlipo mkiwa mmeumbwa na MUNGU aliyeumba ulimwengu wote na ndiye MUNGU mwenye vitu vyote wakati miungu hawana kitu chochote. Mnamo tarehe 4.4.2020 nimeamriwa na MUNGU niwaeleze habari hizi japo siyo nzuri kwa watu watakaoendelea kuabudu miungu anasema kila mwanadamu arejee kwake MUNGU na amwabudu yeye tu na endapo ataendelea basi hata pata amani tena katika maisha yake au siku zake, hiyo amani aliyokuwa nayo itaondolewa kuanzia leo. Watu wa MUNGU mimi ni chombo tu cha kukufikishia ujumbe wake MUNGU kama apendavyo yeye sababu anakupenda, amenitumia nabii wake niwape taarifa hii na onyo ila sauti yake MUNGU ikisisitiza sana kwa hasira sana akisema iweje mimi niwaumbe wanadamu halafu waabudu vitu ambavyo havijawaumba? Ina maana wamenikataa!

ReadMore