JE UNAJUA NJIA YA JEHANAMU ILIVYO?

[ad_1] Ufunuo Wa Yohana 21:27 Watoto wa MUNGU nawasalimu kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETI ambaye lengo lake yeye kuja ulimwenguni ni kututoa katika njia ya jehanamu na tumfuate yeye katika njia ya mbinguni. Nitaelezea kuhusu njia ya jehanamu...

PEPO KANISA

[ad_1] MATHAYO 24: 4-5, 22-28 BWANA YESU ASIFIWE, watoto wa MUNGU, YESU WA NAZARETI anawapenda sana na amenituma niwafundishe kuhusu ukweli wake na kuwaonyesha njia ipasavyo ambaye yeye peke yake ndio njia ya kweli na mtu akifuata njia nyingine...

PEPO MSALABA

[ad_1] Katika ulimwengu huu, tunajua kabisa asili ya msalaba ilitumiwa zamani hizo katika uyahudi na misri pale mtu anapokosea atauliwa na katika kumuua mtu kitu kilichotumika ni msalaba, sasa hata YESU WA NAZARETI alipokufa pale msalabani au...