Close

JE UNAMJUA MUSA WA UONGO?

Yamkini ni jambo jipya kwako ila mimi Nabii Hebron nakufunulia siri hii ujue kuwa yupo Musa wa uongo na makao yake yapo kuzimu, japo Musa wa kweli aliyewaongoza wana wa Israeli kutoka Misri na kuwatoa kwa Farao, huyu yupo mbinguni na yeye ni...

Read more

PEPO SADAKA

Ndugu msomaji wa makala ya Nabii Hebron, nakusalimu kwa jina la YESU WA NAZARETI aliye hai na sasa yupo mbinguni kwa BABA yake katika kiti cha enzi. Leo, nitakufundisha somo kuhusu pepo sadaka. Natumaini hili ni jambo jipya katika ulimwengu huu...

Read more